Featured
Convert Clear

Picha:Kinara wa Madawa ya Kulevya nchini Tanzania, Ayub Mfaume atiwa mbaroni


Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamesema kuwa wamemkamata kiongozi wa ulanguzi wa dawa ya kulevya aina ya heroine anayefanya shughuli zake kati ya Afrika mashariki na China.
Maafisa hao wanaokabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya wamesema kuwa Ayub Mfaume

ambaye anajulikana kama kiboko alikuwa mmoja wa watu wanaotafutwa sana hapa nchini.
Anadaiwa kuwa na ushiirikiano na walanguzi wa dawa za kulevya nchini Brazil, Pakistan, na mataifa kadhaa ya Ulaya.
Maafisa hao wanasema kuwa Mfaume alijisalimisha kwa maafisa hao kufuatia msako wa wiki mbili dhidi ya walanguzi wa dawa za kulevya.
Bwana Makonda amesema vita vitaendelea mpaka mwisho.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
© Copyright THE TRUTH KENYA Published.. Blogger Templates
Back To Top